SAKATA la Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe (Chadema), kutuhumiwa kutumia vibaya madaraka yake, limeweka ndoa za wabunge shakani.
Mbowe juzi alituhumiwa na Mbunge wa Iramba Magharibi, Mwigulu Nchemba (CCM), kubadilisha ziara ya Mbunge wa Viti Maalum, Joyce Mukya (Chadema), aliyotumwa na Bunge nje ya nchi huku akiwa amechukua posho, asiende alikotumwa badala yake aende
↧