Rais Jakaya Kikwete leo
ametengua uteuzi wa mawaziri wanne kufuatia shutuma nzito dhidi yao
katika sakata la Operesheni Tokomeza Ujangili.
Mawaziri waliopoteza ajira
zao usiku huu ni pamoja na Khamis Kagasheki (Maliasili na Utalii), David
Mathayo (Mifugo na Uvuvi), Emmanuel Nchimbi (Mambo ya Ndani) na Shamsi
Vuai Nahodha (Ulinzi na JKT).
Akizungumza Bungeni Dodoma
usiku huu,
↧