Waziri wa Maliasili na Utalii Mh. Balozi Khamisi Kagasheki
ametangaza nia ya kujiuzulu wadhifa wake dakika chache zilizopita
bungeni mjini Dodoma.Sababu kubwa ya kujiuzulu ni baada ya kusomwa
ripoti ya kamati ya Bunge ikimtuhumu kuzembea na kukithiri kwa vitendo
viovu vilivyofanywa na wanausalama wakati wa Operesheni Tokomeza.
Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira
↧