Hali bado ni tete bungeni.....Wabunge wanawataka Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Waziri wa Maliasili na Utalii,
Khamisi Kagasheki, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi
na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Shamsi Vuai Nahodha
kujiuzulu kutokana na maovu yaliyofanywa wakati wa Operesheni Tokomeza
wakati wakijadili ripoti iliyotolewa na Mwenyekiti wa Kamati ya
↧