via gazeti la MAJIRA
-- Sakata la Watanzania wanaoshikiliwa nchini Pakistan na mtandao
unaohusika na biashara ya dawa za kulevya ambao wapo mafichoni nchini
humo kama dhamana ya vigogo wanaofanya biashara hiyo nchini, limechukua
sura mpya.
Taarifa zilizolifikia gazeti hili, zinasema idadi ya
watanzania wanaopelekwa nchini humo na vigogo wa biashara hiyo
nchini inazidi kuongezeka
↧