Kamati ya Lembeli ambayo leo imesoma Taarifa ya Uchunguzi ya Kamati kwa Bunge imependekeza Waziri wa Maendeleo na Uvuvi, Dk David Mathayo
David , Mkurugezi wa Wanyamapori na maofisa wengine wajiuzulu mara moja
kutokana na kuwapo kwa matukio ya kuchomwa moto kwa nyumba za wananchi
na kuuawa kwa baadhi ya watu wakati wa operesheni tokomeza majangili.
Bunge
Limeharishwa kwa muda ili
↧