Kivuko kikubwa cha Mv Magogoni kinachofanya safari zake kati ya
Kivukoni na Kigamboni jijini Dar es Salaam kimekosa muelekeo majini
katika bahari ya Hindi kikiwa na abiria na magari baada ya injini zake
kushindwa kufanya kazi...
Mpaka sasa sababu za injini kushindwa kufanya
kazi hazijajulikana.....
Mhanga mmoja wa tukio hilo ameielezea kwa kifupi ajali hiyo
↧