Mbunge wa Iramba Magharibi, mh. Mwigulu Nchemba leo asubuhi aliomba mwongozo wa Spika wa bunge akimtuhumu Mh. Mbowe kwamba amekuwa akitumia madaraka yake vibaya kwa kuchanganya mapenzi na kazi, hali inayolichafua bunge la Tanzania katika tawsira za kimataifa.....
Mwigulu ameliambia bunge kuwa , Mbowe alipiga simu kutaka kusitishwa kwa safari ya mbunge
↧