Hausigeli anaswa AKIKOJOLEA chombo cha kumpikia chakula bosi wake....Hii ni...
Binti mmoja ambaye ni mfanyakazi wa ndani ( Housegeli ) amenaswa live na kamera zilizofungwa jikoni na bosi wake akikojoa ndani ya jiko na kisha kuuchukua mkojo na kuuchanganya...
View ArticleMwanafunzi wa chuo kikuu apiga picha chafu akitambaa sakafuni huku wenzake...
Mwanafunzi mmoja wa chuo kikuu maarufu nchini amejikuta akiuaga mwaka vibaya baada ya picha zake chafu kuvuja.... Katika picha hizo, mwanafunzi huyo anaonekana kujiachia uchi...
View ArticleRais Kikwete awataka wananchi kuwekeza zaidi katika kilimo ili kukuza uchumi...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Jakaya Mrisho Kikwete amesema endapo jamii itafanikiwa kuwekeza katika kilimo basi uchumi wa Tanzania utakuwa na kufanikiwa kupiga hatua katika maendeleo ya...
View Article"Kwani Kuna ubaya gani nikitangaza hadharani kwamba natafuta mwanaume wa...
Msanii wa THT, Rachel Haule ameijibu taarifa iliyoandikwa na mitandao ya nchini Kenya kuwa aliwaaibisha wasanii wenzie wa Kigoma All-stars waliokuwa kwenye show mjini Mombasa, Kenya wiki iliyopita kwa...
View ArticleTaarifa ya SUMTRA kwa umma kuhusu kusitisha leseni za usafirishaji kwa mabasi...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUSITISHA LESENI ZA USAFIRISHAJI KWA MABASI YANAYOMILIKIWA NA KAMPUNI ZA OSAKA ROYAL CLASS, POLEPOLE CLASSIC NA BURHAN BUS SERVICES Hivi karibuni mabasi yanayomilikiwa na...
View ArticleWatu saba wakamatwa kwa kosa la kumpiga mawe na kumuua mwenyekiti wa CCM -...
Watu saba wanashikiliwa na Polisi Mwanza wakituhumiwa kuhusika na mauaji ya aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza na Diwani wa Kisesa, Clement Mabina. Mabina aliuawa na wananchi katika ugomvi...
View ArticleSerikali yakiri uwepo wa wanaume nchini ambao siyo Rijali
Serikali imekiri kuwapo wanaume ambao mbegu zao hazina uwezo wa kuwapa mimba wanawake na kwamba, imekuwa ikiendelea kutoa elimu mara kwa mara. Hayo yalisemwa jana na Naibu Waziri wa Afya na Ustawi...
View ArticleWahitimu wa vyuo vikuu nchini washauriwa kujiajiri badala ya kutegemea kuajiriwa
SHIRIKA la Maendeleo la Restless limewataka wanafunzi wanaohitimu vyuoni kuwa na mtazamo tofauti ikiwamo wa kujiajiri kuliko kutegemea ajira kupunguza tatizo la ajira nchini. Akizungumza na RAI,...
View Article"Kesi ya kukutwa na simu nimebambikiwa"...Liyumbs
Mkurugenzi wa zamani wa Utawala na Utumishi (DPA), Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Amatus Liyumba anayekabiliwa na kesi ya kukutwa na simu gerezani, ameiomba mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imfutie shtaka...
View Article"Wasanii ni wanafiki ....wakati naumwa sikuwahi kupigiwa simu na msanii...
Rehema Chalamila aka Ray C jana alifunguka kupitia kipindi cha Mkasi jinsi ambavyo wasanii wenzake walimtenga wakati alipokuwa amelazwa hospitali kupatiwa matibabu ya ‘uraibu’ (addiction) wa madawa ya...
View Article"Maneno ya watu ndo yaliyonifanya nikubali kulala na bosi wangu....Walinisema...
Hivi sasa sio siri tena wala Baby Madaha hataki tena kupindisha pindisha maneno kuwa ana uhusiano wa kimapenzi na meneja wake wa Kenya CEO wa Candy n Candy Joe Kariuki. Msanii huyo filamu na muziki...
View ArticleRais Kikwete atuma salamu za rambirambi jijini Mwanza kufuatia vifo vya...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Eng. Evarist Ndikilo kufuatia vifo vya watu wawili vilivyotokea tarehe 15 Desemba, 2013 katika Kitongoji cha Kanyama...
View ArticleHizi ni picha mbili za Lulu Michael akiwa kifua wazi ambazo zilimfanya...
Hizi ni picha mbili za Lulu Michael akiwa kifua wazi ambazo zilimfanya atangaze dau la sh. 800,000 kwa mwanaume anayemtaka... <!-- adsense -->
View ArticleMaiti nyingine yagoma kuzikwa nchini Kenya.....Ndugu wafanya tambiko kumsihi...
Hii ni maiti nyingine iliyozua kizaa zaa nchini Kenya baada ya kugoma kuzikwa..... Zaidi ya magari 10 yalishindwa kuisafirisha maiti hii na ndipo ndugu wa marehemu akiwemo...
View ArticleUnyama: Majambazi 7 yambaka mama na mabinti zake watatu kwa zamu huko Geita
Watu wanaokadiriwa kufikia saba wanaosadikiwa kuwa majambazi wakiwa na mapanga na marungu, wamevamia nyumbani kwa mkazi wa kijiji cha Kaduda kata ya Katoro wilayani Geita na kuwabaka kwa zamu mama na...
View ArticleWabunge wataka Watanzania waandaliwe kumiliki uchumi wa gesi iliyogunduliwa...
Kamati ya Bunge ya Uchumi, Viwanda na Biashara, imeitaka serikali kuwaandaa Watanzania na miundombinu itakayowawezesha kumiliki uchumi wa gesi. Akiwasilisha bungeni taarifa ya kamati hiyo kwa kipindi...
View ArticleIdadi ya waliokamatwa kwa kumpiga mawe na kumuua mwenyeki wa CCM yaongezeka...
Idadi ya watu wanaoshikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya Mwenyekiti mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Mwanza, Clement Mabina imeongezeka kutoka saba...
View ArticleAbiria atakayekutwa amesimama ndani ya basi atatozwa faini.....Huu ni...
POLISI Kikosi cha Usalama Barabarani, inaandaa sheria itakayosaidia kudhibiti ujazaji wa watu kwenye magari ya abiria, ambayo abiria atakayekutwa amesimama, atatozwa faini. Kauli hiyo ilitolewa jana...
View ArticleWema Sepetu afulia baada ya kigogo wa ikulu aliyekuwa akimwagia manoti...
NI kweli hakuna marefu yasiyokuwa na ncha? Kama ni kweli, basi ile jeuri ya fedha ya Miss Tanzania mwaka 2006 ambaye pia hufanya vyema kwenye gemu la sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu inadaiwa...
View ArticleMwigulu Nchemba akerwa na kitendo cha Freeman Mbowe kuchanganya kazi na...
Mbunge wa Iramba Magharibi, mh. Mwigulu Nchemba leo asubuhi aliomba mwongozo wa Spika wa bunge akimtuhumu Mh. Mbowe kwamba amekuwa akitumia madaraka yake vibaya kwa kuchanganya...
View Article