Msanii wa THT, Rachel Haule ameijibu taarifa iliyoandikwa na mitandao
ya nchini Kenya kuwa aliwaaibisha wasanii wenzie wa Kigoma All-stars
waliokuwa kwenye show mjini Mombasa, Kenya wiki iliyopita kwa kuongea
mbele ya waandishi wa habari kwamba anatafuta mwanaume wa kumlala na kumridhisha
kimapenzi.
Akizungumza na mwandishi wetu leo baada ya taarifa hii kusambaa, Recho
↧