TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
KUSITISHA LESENI ZA USAFIRISHAJI KWA MABASI YANAYOMILIKIWA NA KAMPUNI ZA OSAKA ROYAL CLASS, POLEPOLE CLASSIC NA BURHAN BUS SERVICES
Hivi karibuni mabasi yanayomilikiwa na kampuni za Osaka Class, Polepole Classic na Burhan Bus Services yalihusika katika ajali zilizotokea katika maeneo na siku tofauti ambapo watu walipoteza maisha na wengine wengi kujeruhiwa.
↧