Watu saba wanashikiliwa na Polisi Mwanza wakituhumiwa kuhusika
na mauaji ya aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza na Diwani wa
Kisesa, Clement Mabina.
Mabina aliuawa na wananchi katika ugomvi wa ardhi baada ya kudaiwa kumuua mmoja wa wakazi hao kwa risasi.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mwanza, Kamishna
Msaidizi Mwandamizi (SACP), Valentino
↧