Serikali imekiri kuwapo wanaume ambao mbegu zao hazina uwezo wa
kuwapa mimba wanawake na kwamba, imekuwa ikiendelea kutoa elimu mara kwa
mara.
Hayo yalisemwa jana na Naibu Waziri wa Afya na
Ustawi wa Jamii, Dk Seif Rashid alipojibu swali la nyongeza la Mbunge wa
Viti Maalumu, Kidawa Saleh (CCM).
Mbunge huyo alitaka kujua iwapo Serikali haioni
↧