SHIRIKA la Maendeleo la Restless limewataka wanafunzi wanaohitimu vyuoni
kuwa na mtazamo tofauti ikiwamo wa kujiajiri kuliko kutegemea ajira
kupunguza tatizo la ajira nchini. Akizungumza na RAI, Meneja wa
Maendeleo Restless, Nicas Ngumba alisema lengo la kuanzisha program hiyo
ni katika juhudi za kupunguza tatizo la ajira nchini.
Ngumba alisema baada kufanya uchunguzi imebainika kuwa
↧