Mkurugenzi wa zamani wa Utawala na Utumishi (DPA), Benki Kuu ya
Tanzania (BoT), Amatus Liyumba anayekabiliwa na kesi ya kukutwa na simu
gerezani, ameiomba mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imfutie shtaka hilo
na kumuachia huru kwa madai kuwa kesi hiyo ilipangwa kwa ajili ya
kumkomoa.
Liyumba aliyaeleza hayo jana wakati akijitete
mbele ya Hakimu Mkazi, Augustina Mmbando anayetarajia
↧