Lulu Michael na Young D wafumaniwa wakifanya mapenzi ndani ya gari
Jana kupitia kwenye kipindi cha U-heard cha Clouds FM chini ya bwana Sudi Brown ama Gossip Cop kulikuwa na fununu kali iliyokuwa inamuhusu mwanadada wa Bongo Movies na mwimbaji wa muziki wa kizazi...
View ArticleMtuhumiwa sugu wa UBAKAJI jijini Arusha anasurika kuuawa baada ya kunaswa...
( Hii siyo picha ya tukio.Ni picha wakilishi tu ya mtandaon ) Habari na Joseph Ngilisho, Arusha --Kinara sugu wa ubakaji ,Selemeni Said(30) mkazi wa Mbauda jijini hapa,amenusulika kufa kwa kipigo...
View ArticleMwanamke abakwa na kuchomekwa chupa za soda katika sehemu zake za siri na...
Mwanamke mkazi wa Chalinze, Mkoa wa Pwani, Moshi Rashid (43) amefanyiwa unyama uliopitiliza na watu wasiojulikana baada ya kumbaka na kumnyonga... Tukio hilo la kutisha lilijiri usiku wa Desemba...
View ArticleZitto Kabwe amjibu mwanasheria mkuu wa Serikali....Adai kuwa mwanasheria ni...
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema), amesema atamjibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Fredrick Werema juu ya kauli aliyoisema bungeni kwamba mbunge huyo hana majina ya Watanzania...
View ArticleMawaziri saba ambao ni mizigo ndani ya CCM wahojiwa na kamati kuu ya chama...
NA BASHIR NKOROMO Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika kikao chake kilichofanyika jana mjini Dodoma chini ya Mwenyekiti wake Rais Jakaya Kikwete imeibuka na masuala mazito kadhaa, ambayo...
View ArticleDalili 15 za mwanaume PUNGA
Naomba nikudokezee mambo machache unayoyakosa toka jukwaa la Fikra huru ambalo ni forum ya mtandao huu.... -Nafasi za kazi -Jinsi ya ku unlock simu yako ( aina yoyote ) -Jinsi ya...
View ArticleMbowe aikanyaga ardhi ya jiji la Mwanza.....Leo atakuwa na mkutano wa hadhara...
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, leo anatarajiwa kufanya mkutano wa hadhara utakaofanyika viwanja vya Malimbe, katika maeneo ya Chuo Kikuu cha Mtakatifu...
View Article" Tukishika Dola tutaruhusu utengenezaji wa pombe ya GONGO kisheria"....Dr. Slaa
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetoa mpya baada ya kueleza kuwa kitakapofanikiwa kushika dola kitaruhu Shirika la Viwanda Vidogo Vidogo (SIDO) kutengeneza mitambo ya kutengenezea pombe...
View ArticleMazishi ya Nelson Mandela yanaendelea hivi sasa kijiji cha Qunu katika mkoa...
Mazishi ya Nelson Mandela yanaendelea katika kijiji cha Qunu katika mkoa wa Eastern Cape na kumaliza wiki moja ya maombolezi ya shujaa wa Afrika mwendazake Nelson Mandela. Takriban watu 4,500...
View ArticleLive Stream inayorusha mazishi ya Nelson Mandela LIVE kutoka Afrika Kusin
Live Stream inayorusha mazishi ya Nelson Mandela LIVE kutoka Afrika Kusin
View ArticleMwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza auwawa na wananchi wenye hasira kali kwa...
Aliyekuwa mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza ndugu Clement Mabina ameuwawa na wananchi wenye hasira kali kwa kupigwa mawe huko maeneo ya Kisesa jijini Mwanza... Chanzo cha kuuwawa ni kwamba mabina...
View ArticleMengi azijibu tuhuma za kifisadi na ubinafsi zilizoelekezwa kwake na waziri...
1. Nafurahi kwa nafasi ya kuwa nanyi leo kwa kuwa sekta binafsi itapata nafasi ya kipekee kesho tarehe 16 Desemba 2013, ya kuwa na mkutano chini ya Mhe. Rais Kikwete kama mwenyekiti.2. Mimi binafsi...
View ArticleWatanzania waisifia hotuba ya Rais Kikwete aliyoitoa leo katika mazishi ya...
Watanzania mbalimbali wameisifia hotuba iliyotolewa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete kwenye siku hii ya maziko ya Mzee Nelson Mandela Jumapili December 15 2013..... Hotuba...
View ArticleWatanzania maskini wafikia milioni 4.2
Ripoti mpya iliyotolewa na Benki ya Dunia (WB) inaonyesha Watanzania milioni 4.2 wanaishi chini ya mstari wa umaskini kwa kupata Sh886 kwa siku. Ripoti hiyo inabainisha kuwa Watanzania hao ambao...
View ArticleSababu 100 za kwa nini hotuba ya Rais Kikwete kumuaga Mandela ilikuwa bora zaidi
Ndugu zangu, NOTHING can come from NOTHING. Wamesema hili Wanafalsafa wa Uyunani ya Kale .Nilimwona na kumsikiliza Rais wetu Jakaya Kikwete akizungumza kwenye siku muhimu ya kumuaga kwa mara ya mwisho...
View ArticleLulu Michael azijibu tuhuma za kufumaniwa akifanya mapenzi ndani ya gari
Mwishoni mwa wiki iliyopita, taarifa zilienea katika mitandao ya kijamii na vyombo mbalimbali vya habari Bongo kwamba msanii wa Bongo Fleva, David Genzi ‘Young Dee’ na nyota wa filamu, Elizabeth...
View ArticleRose Muhando hatimaye amevunja ukimya kwa kuachia hii video ya WOLOLO chini...
Muimbaji wa muziki wa injili nchini Rose Muhando hatimaye amevunja ukimya kwa kuachia video chini ya label ya kimataifa inayomsimamia kwa sasa Sony Music Africa. Video ya Rose Muhando ‘Wololo’ pia...
View ArticleKigoma All-Stars yapagawisha Mombasa lakini Recho aponzwa na tamaa za ngono...
Wiki iliyopita, wanamuziki wa Kigoma All stars akiwemo Diamond Platnumz na wengine walikuwa mjini Mombasa, Kenya kwenye show ya sehemu ya ziara yao katika nchini za Afrika Mashariki. Pamoja na...
View ArticleMbowe ampa MAKAVU Zitto Kabwe huko Mwanza.....Adai kuwa chama chake hakiko...
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amemvaa Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe na kusema kamwe chama hicho hakiwezi kuvumilia usaliti wa aina yoyote....
View ArticleMr. Nice apata shavu jipya la kufanya filamu na kampun ya VAD Film Production...
Msanii mkongwe wa mziki nchini Tanzania maarufu kwa jina la Mr. Nice amepata shavu jipya la kufanya filamu moja na kampuni ya VAD Film Production ambayo ni kampuni ya...
View Article