Samson Mwigamba amtaka msajili wa vyama vya siasa aingile kati swala la ukomo...
Mimi Samson Mwigamba, mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ninawasilisha malalamiko yangu kwa Msajili wa vyama na ninaomba atoe mwongozo kuhusu mgogoro wa kikatiba uliopo ndani...
View ArticleTangazo la nafasi mpya za kazi...Mwisho wa maombi ni tarehe 31 mwezi huu...
Jukwaa la Taaluma na Ajira lina nafasi 15 za kazi kwa ajili yako mtanzania mwenzangu..... Tarehe za mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 16, 20, 31 mwezi huu na tarehe 31 mwezi...
View ArticleBad News: Basi la Burudani lapinduka na kuua watu 12 huku wengine...
Watu zaidi ya 12 wameripotiwa kufa na wengine kujeruhiwa baada ya basi walilokuwa wakisafiria la Burudani kutoka Korogwe kwenda Dar es Salaam kupinduka katika kijiji cha Taula wilayani Handeni mkoani...
View ArticleBungeni moto... azimio lapitishwa kumtaka waziri Hawa Ghasia na manaibu wake...
Bunge limepitisha azimio la kuwataka mawaziri katika Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), kujipima iwapo wanatosha kuendelea kuongoza wizara hiyo nyeti. Azimio hilo...
View ArticleJe, unampenda Lulu Michael na unataka awe mkeo?....Kama jibu ni ndio basi...
Imevuja kuwa mwanaume atakayetaka kumuoa staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ atalazimika kutoa si chini ya shilingi laki nane (800,000) kama mahari ili kumuoa mwigizaji huyo. Kwa...
View ArticleSheik Ponda akwama mahakama kuu...Mahakama yaagiza mawakili wake wachukuliwe...
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imeagiza mawakili wanaomtetea Shekhe Ponda Issa Ponda, wachukuliwe hatua kali za kinidhamu na mamlaka husika kutokana na kufanyia marekebisho hati za kiapo...
View Article'Kama itatokea leo hii nikavuliwa uwaziri mkuu, binafsi nitafurahi sana kwa...
Waziri Mkuu Mizengo Pinda ameliambia Bunge muda mfupi uliopita kwamba kama ikitokea Rais akamng'oa katika nafasi yake ya uwaziri mkuu, yeye atafurahi sana kwa kuwa kazi anayoifanya ni mzigo mkubwa....
View ArticleUganda yaanza kuilipa mabilioni Tanzania ikiwa ni fidia kwa Tanzania kwa...
SERIKALI ya Uganda tayari imeshaanza kulipa deni lake kwa Tanzania la dola za Marekani milioni 9.6 kati ya dola za Marekani milioni 18.4 ikiwa ni fidia kwa Tanzania kwa mchango wake katika kumuondoa...
View ArticlePicha za majeruhu katika basi la Burudani lililoua watu 12 na kujeruhi 55...
Basi la Burudani baada ya ajali leo Wilaya ya Handeni, Tanga. Hospitali ya wilaya ya Korogwe. Majeruhi wakipatiwa matibabu. Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Mrisho Gambo ( kushoto) akiangalia mmoja wa...
View ArticleBaada ya kuripotiwa kakamatwa na Madawa ya kulevya nchini Brazil, Aisha Bui...
Mwigizaji wa filamu za kibongo aliyesemekana kuwa amekatwa nchini brazil akiwa na madawa ya kulevya Aisha Bui ameonekana nchini hivi karibuni akiwa kwenye salooni ya mwanadada mwingine muigizaji Nisha...
View ArticleRais Kikwete ahudhuria sherehe za miaka 50 ya uhuru wa Kenya leo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete(kulia) wakiwa katika sherehe za miaka 50 ya Uhuru wa Kenya zilizofanyika katika uwanja wa Michezo wa Kasarani mjini Nairobi leo. Kushoto ni...
View Article"Walionizomea na kunifanyia vurugu kule Kasulu wamefikishwa...
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA), Dk. Wilbrod Slaa, amesema kuwa vijana waliomfanyia fujo katika mkutano wake Wilayani Kasulu, wamefikishwa mahakamani kwa hatua za kisheria....
View ArticleDr. Asha Rose Migiro aapishwa rasmi kuwa mbunge....
MBUNGE aliyeteuliwa na Rais, Dk Asha Rose Migiro ameapishwa rasmi jana bungeni na kusema anafurahi kutumikia umma huku akiahidi utumishi wenye uadilifu, uaminifu na wa kujituma. Dk Migiro aliapishwa...
View Article" Filamu za kibongo haziuziki bila kutumia wasichana warembo"...Tino
Bila wasichana warembo kwenye filamu ya kibongo, hakuna atakayeinunua na huenda waandaaji wakaishia kuiangalia tu nyumbani na familia zao. Kwa mujibu wa Tino, wasichana warembo ni ‘chambo’...
View ArticlePicha tatu za Wema Sepetu akiwa ndani ya pozi la nusu uchi.....
Wema Sepetu amejikuta akijishushia heshma yake baada ya kutupia picha mtandaoni zikimuonesha akiwa amevaa mavazi yaliyoacha wazi baadhi ya sehemu nyeti za mwili wake hasa matiti, kitovu na...
View ArticleWatu 6 wapoteza maisha baada ya kufunikwa na kifusi mkoani Kilimanjaro
Uongozi wa mkoa wa Kilimanjaro ukiongozwa na mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama ukishuhudia zoezi la ukoaji wa miili ya watu hao. Juhudi za kuokoa waliofukiwa zikiendelea Gari aina ya fuso...
View ArticleVita ya mabilioni ya uswisi: Mwanasheri mkuu wa serikali adai kuwa Zitto...
SAKATA la mabilioni yanayodaiwa kufichwa na Watanzania nje ya nchi jana lilileta zogo bungeni baada ya Mwanasheria Mkuu, Jaji Frederick Werema, kutifuana na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe,...
View ArticleEdward Lowassa ( waziri mkuu mstaafu ) na abiria wengine 41 wanusurika kifo...
Abiria kadhaa akiwemo Waziri Mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa wamenusurika kifo, baada ya ndege waliyokuwa wakisafiria kupasuka matairi yote manne ya nyuma wakati ilipokuwa ikitua...
View ArticleShilole aivaa laana ya mzee Small baada ya kumzushia kifo.
MSANII wa muziki wa mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amejikuta katika wakati mgumu baada ya kuandika juu ya uzushi wa kifo cha msanii mkongwe, Said Ngamba ‘Mzee Small’ kupitia mtandao wa Instargram....
View Article