Abiria kadhaa akiwemo
Waziri Mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa wamenusurika
kifo, baada ya ndege waliyokuwa wakisafiria kupasuka matairi yote manne
ya nyuma wakati ilipokuwa ikitua katika uwanja wa Arusha leo mchana.
Ndege
hiyo ya shirika la ndege la Precision aina ya ATR ilipata ajali hiyo
wakati ikitua, ambapo Matairi yote manne ya nyuma yalipasuka na
↧