SAKATA la mabilioni yanayodaiwa kufichwa na Watanzania nje ya nchi
jana lilileta zogo bungeni baada ya Mwanasheria Mkuu, Jaji Frederick
Werema, kutifuana na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, huku
Mbunge wa Arusha Godbless akiwataka wote wawili wampe majina ayataje
hadharani kama wanashikwa na woga.
Huku Zitto akisisitiza kuwa serikali haionyeshi nia ya kuwachukulia
hatua
↧