Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Bad News: Basi la Burudani lapinduka na kuua watu 12 huku wengine wakijeruhiwa vibaya

$
0
0
Watu zaidi ya 12 wameripotiwa kufa na wengine kujeruhiwa baada ya basi walilokuwa wakisafiria la Burudani kutoka Korogwe kwenda Dar es Salaam kupinduka katika kijiji cha Taula wilayani Handeni mkoani Tanga. Cedit: East Africa Radio <!-- adsense -->

Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>