Waziri Mkuu Mizengo Pinda ameliambia Bunge muda mfupi uliopita kwamba kama
ikitokea Rais akamng'oa katika nafasi yake ya uwaziri mkuu, yeye atafurahi sana
kwa kuwa kazi anayoifanya ni mzigo mkubwa.
" Kama ningeambiwa LEO ningeondolewa katika nafasi hii, basi dada Rukia mimi ningefurahi kwa kuwa ningekuwa nimetua mzigo.
"Dada Rukia, hii kazi huombi, Rais anaangalia na
↧