SERIKALI ya Uganda tayari
imeshaanza kulipa deni lake kwa Tanzania la dola za Marekani milioni 9.6
kati ya dola za Marekani milioni 18.4 ikiwa ni fidia kwa Tanzania kwa
mchango wake katika kumuondoa Idd Amin Dada Uganda mwaka 1978.
Hayo yalibainishwa bungeni jana na
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk Shamsi Vuai Nahodha,
wakati akijibu swali la msingi la Mbunge wa Mbinga,
↧