Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imeagiza mawakili wanaomtetea Shekhe Ponda Issa Ponda, wachukuliwe hatua kali za kinidhamu na mamlaka husika kutokana na kufanyia marekebisho hati za kiapo zilizokuwa na makosa ya kisheria ambazo zilikuwa tayari zimewasilishwa mahakamani hapo.Uamuzi huo ulitolewa na Jaji Rose Temba, jijini Dar es Salaam jana wakati kesi hiyo ilipofikishwa mahakamani hapo
↧