MBUNGE aliyeteuliwa na Rais, Dk Asha Rose Migiro ameapishwa rasmi jana bungeni na kusema anafurahi kutumikia umma huku akiahidi utumishi wenye uadilifu, uaminifu na wa kujituma.
Dk Migiro aliapishwa na Spika wa Bunge, Anne Makinda jana saa tatu asubuhi baada ya kuingia bungeni akisindikizwa na wabunge .
Baada ya kuapishwa, Dk Migiro alipongezwa na Waziri Mkuu Mizengo Pinda,
↧