Bila wasichana warembo kwenye filamu ya kibongo, hakuna atakayeinunua
na huenda waandaaji wakaishia kuiangalia tu nyumbani na familia zao.
Kwa mujibu wa Tino, wasichana warembo ni ‘chambo’ kinachowavuta
wanunuzi wa filamu za Tanzania. Ujuzi wa uigizaji na kipaji, si sababu
kwao.
Akiongea na gazeti la Mwanaspoti, Tino alisema warembo hao pamoja na
kuzifanya filamu zivutie pia huwa
↧