KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA), Dk. Wilbrod
Slaa, amesema kuwa vijana waliomfanyia fujo katika mkutano wake
Wilayani Kasulu, wamefikishwa mahakamani kwa hatua za kisheria.
Hayo aliyasema juzi mjini Kigoma alipokuwa akihutubia mkutano wa
hadhara, uliofanyika katika viwanja vya Mwanga Center Kigoma mjini,
uliohudhuriwa na mamia ya wapenzi wa chama hicho
↧
"Walionizomea na kunifanyia vurugu kule Kasulu wamefikishwa mahakamani".....Hii ni kauli ya Dr. Slaa
↧