Mimi Samson Mwigamba, mwanachama wa Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA) ninawasilisha malalamiko yangu kwa Msajili wa vyama
na ninaomba atoe mwongozo kuhusu mgogoro wa kikatiba uliopo ndani ya
Chama kufuatia kipengele cha katiba kinachogusia ukomo wa uongozi
kubadilishwa kinyume na utaratibu.
Katiba ya Chadema ya mwaka 2004 kipengele 5.3.2 (c) inasomeka ifuatavyo kuhusu Muda
↧