Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Baada ya kuripotiwa kakamatwa na Madawa ya kulevya nchini Brazil, Aisha Bui aonekana Saluni ya Nisha sinza

$
0
0
Mwigizaji wa filamu za kibongo aliyesemekana kuwa amekatwa nchini brazil akiwa na madawa ya kulevya Aisha Bui ameonekana nchini hivi karibuni akiwa kwenye salooni ya mwanadada mwingine muigizaji Nisha iliyopo maeneo ya Sinza jijini Dar es Salaam.   Mwadada huyo ambaye tayari ameigiza filamu kadhaa na mastaa wenzake alionekana kwenye saloon ya Salma Jabu(Nisha) akiwekwa sawa nywele

Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Trending Articles