Bunge lasitisha shughuli zake na kutoa azimio la kumuenzi Rais Nelson...
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania juzi lilisitisha shughuli zake na kutoa Azimio kutokana na kifo cha Mandela, kwa kumuenzi kwa kudumisha umoja, amani, mshikamano ili kuleta maendeleo....
View ArticleMrema aongoza maandamano wilayani Moshi ya kudai vyoo kwenye masoko
Mbunge wa Vunjo, Agustine Mrema (TLP), ameongoza maandamano ya amani wilayani Moshi Vijijini kuishinikiza serikali kujenga vyoo na kupunguza kero za wafanya biashara wa masoko yaliyopo wilayani humo....
View ArticleTanzania yatimiza miaka 52 ya uhuru leo
Tanzania leo inaadhimisha miaka 52 ya uhuru katika sherehe zitakazofanyika kitaifa katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa taarifa ya Ofisi ya Waziri Mkuu, mgeni rasmi atakuwa...
View Article"Nchi hii haina mmiliki na kila mtu ana haki ya kwenda popote ....Lazima...
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, amesema wanaodai asikanyage Kigoma Mjini wanapoteza muda wao kwani hatishwi wala haogopi na hata ikitokea amepigwa risasi...
View ArticleBaby Madaha anusurika kubakwa.....
STAA wa filamu na muziki Bongo, Baby Joseph Madaha ‘Baby Madaha’ amenusurika kubakwa na vijana wa kihuni nchini Kenya maarufu kama machokoraa. Tukio hilo lilitokea pande za Mombasa nchini Kenya...
View ArticleRais Kikwete awashauri wanaopanga kulipa kisasi wakipata madaraka waache na...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amewashauri watu wanaopanga kulipa kisasi pindi watakapopata madaraka kuachana na mawazo hayo. Rais Kikwete ametoa ushauri huo wakati...
View ArticleRais Jakaya Kikwete ametoa msamaha kwa wafungwa 1,475...Akina nani hao??...
Katika kuadhimisha miaka 52 ya uhuru wa Tanganyika rais Jakaya Kikwete ametoa msamaha kwa wafungwa 1,475. Taarifa iliyotolewa na waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mh. Emmanuel Nchimbi imesema...
View ArticleRais Kikwete awasili Afrika Kusini kuhudhuria mazishi ya mzee Nelson Mandela....
Rais Jakaya Mrisho Kikwete amewasili nchini Afrika Kusini usiku wa kuamkia leo Desemba 10, 2013 tayari kuhudhuria maziko ya Rais Mstaafu wa Afrika Kusini Mzee Nelson R. Mandela. Kwa mujibu wa...
View ArticleKwa nini ufanye mapenzi na mbuzi wakati kuna mabinti wazuri kama...
Kwa nini ufanye mapenzi na mbuzi au kuku wakati kuna mabinti wazuri kama hawa??...Kwa nini uteseke kujichua wakati kuna watoto wazuri kama hawa??? Je upo single na umechoka...
View ArticleNora adai kuwa Ray anamfitini kwa sababu alimtongoza akamkataa...bofya hapa...
Muigizaji wa kike aliyefanya vizuri kupitia kundi la Kaole Sanaa Group, Nuru Nassoro aka Nora amedai kuwa amekuwa akifanyiwa fitina na muigizaji mwenzake Vicent Kigosi aka Ray kwa kuwa aliwahi kumtaka...
View ArticleMsiba wa mzee Mandela wawakutanisha Rais Obama na Raul Castro wa Cuba na...
Rais Barack Obama wa Marekani leo amejikuta akipeana mkono na hasimu wake Raul Castro ambaye ni rais wa Cuba na pia ni mdogo wake na Fidel Castro... Ilikuwaje....?? Rais Obama ni...
View ArticleHizi ni Picha mbalimbali za kuuombea mwili wa mzee Mandela huko Afrika...
Hizi ni picha mbalimbali toka SA wakati wa kuuombea mwili wa mzee Mandela Source: BBC <!-- adsense -->
View ArticleRuth wa Project fame aomba radhi kwa vazi la nusu uchi alilovaa kwenye...
Mshindi wa shindano la tano la Project fame Mkenya Ruth Matete ameomba radhi kutokana na vazi alilovaa wakati akiimba kwenye fainali za shindano hili mwaka huu, fainali ambazo zilifanyika weekend...
View ArticleZitto Kabwe leo atajibu mashitaka yake 11 anayotuhumiwa na CHADEMA.........
MWANASHERIA wa Mhe Zitto Zuberi Kabwe (Mb), Dr. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba, Ndugu Albert Msando, atazungumza na wahariri wa vyombo vya habari katika Hoteli ya Serena leo tarehe 11/12/2013...
View ArticleMrema agawana mshahara na wapigakura wake jimboni
Mbunge wa Vunjo, Agustine Mrema ( TLP), amesema ameamua kugawana mshahara wake na wananchi wa Vunjo kwa kuwapa mitaji ya biashara kinamama na vijana wa jimbo hilo ili kuendeleza biashara zao na...
View ArticleWanafunzi wa vyuo vikuu washauriwa kuacha biashara haramu ya Ngono.....
WANAFUNZI wa vyuo vikuu nchini wameshauriwa kuacha kujihusisha katika biashara zisizofaa za kuuza miili yao kwa kisingizio cha ugumu wa maisha. Rai hiyo ilitolewa hivi karibuni na Mwenyekiti wa Shirika...
View ArticleMwanamziki wa FM Academia afanyiwa kitu mbaya.....Wahuni wampora na kumvua nguo
Kitendo alichofanyiwa mwanamuziki wa Bendi ya FM Academia ya jijini Dar anayejulikana kwa jina moja la Flora alfajiri ya kuamkia Desemba 8, mwaka huu ni kibaya katika jamii ya Kitanzania. Flora akiwa...
View ArticleFamilia ya Mzee Small yakanusha taarifa za uongo zinazodai kwamba amefariki...
Ni mastaa zaidi ya 10 wa Tanzania ambao wamezushiwa kifo ndani ya mwaka 2013 na stori zote zikawa za uongo baadae, miongoni mwao ni Mwasiti na Mr Blue. December 10 2013 kuanzia saa nne usiku taarifa...
View ArticleKauli ya kutolipiza kisasi aliyoitoa Rais Kikwete yaibua mapya....Profesa...
KAULI iliyotolewa na Rais Jakaya Kikwete kwenye maadhimisho ya miaka 52 ya Uhuru wa Tanganyika, yaliyofanyika juzi jijini Dar es Salaam, kwa kuwataka watu wanaotaka uongozi kutokuwa na visasi imezua...
View ArticleTaarifa ya mwanasheria wa Zitto Kabwe kuhusu maamuzi ya Zitto baada ya...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Baada ya kupokea barua yake ya mashtaka 11 tarehe 01/12/2013 ambayo anashitakiwa nayo na iliyomtaka ajitetee kwa maandishi. Mheshimiwa Zitto Zuberi Kabwe (MB) jana...
View Article