Tanzania leo inaadhimisha miaka 52 ya uhuru katika sherehe zitakazofanyika kitaifa katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa taarifa ya Ofisi ya Waziri Mkuu, mgeni rasmi atakuwa Rais
Jakaya Kikwete ambaye atakagua gharide la askari wa mvikosi vya ulinzi
na usalama.
Aidha, sherehe hizo zitapambwa na halaiki, sarakati, vikundi mbalimbali
vya burudani zikiwamo ngoma za
↧