Rais
Jakaya Mrisho Kikwete amewasili nchini Afrika Kusini usiku wa kuamkia
leo Desemba 10, 2013 tayari kuhudhuria maziko ya Rais Mstaafu wa Afrika
Kusini Mzee Nelson R. Mandela.
Kwa
mujibu wa taarifa rasmi ya serikali, Ibada Kuu ya kumwombea Marehemu
itafanyika leo Desemba 10, 2013 katika Uwanja wa FNB Johannesburg,
ambapo viongozi na watu mashuhuri mbalimbali kutoka kila pembe
↧