Katika kuadhimisha miaka 52 ya uhuru wa Tanganyika rais Jakaya Kikwete ametoa msamaha kwa wafungwa 1,475.
Taarifa iliyotolewa na waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mh. Emmanuel
Nchimbi imesema wafungwa watakaonufaika na msamaha huo wa rais ni wale
wagonjwa wa Ukimwi, kifua kikuu na saratani ambao wako kwenye hali
mbaya. Wengine ni wazee wenye umri zaidi ya miaka 70 walioingia
↧