Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete
amewashauri watu wanaopanga kulipa kisasi pindi watakapopata madaraka
kuachana na mawazo hayo.
Rais Kikwete ametoa ushauri huo wakati akitoa hotuba yake kwenye
sherehe za maadhimisho ya siku ya uhuru wa Tanzania Bara, ambapo
ameelezea mengi mazuri aliyoyafanya rais wa kwanza mzalendo wa Afrika
Kusini, Nelson Mandela
↧