Dk Slaa apokewa kwa mabango ya kumpinga Mkoani Kigoma..Wamtaka yeye na Mbowe...
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk Wilbrod Slaa amepokewa kwa mabango katika mkutano wake wa hadhara wilayani Kakonko, Kigoma lakini akawaambia waliofanya hivyo kuwa chama...
View ArticleSiku ya mazishi ya mzee Nelson Mandela ni tarehe 15 mwezi huu....Obama, Bill...
Rais wa Afrika kusini Jacob Zuma ametangaza mazishi ya Nelson Mandela yatafanyika siku ya Jumapili, Desemba 15 mwaka huu kijijini kwake Qunu, katika jimbo la Eastern Cape, Afrika Kusini. Rais Zuma...
View ArticleCHADEMA yakerwa na ukweli wa CUF.....
BAADHI ya wafuasi cha Chadema, jana nusura waanzishe fujo kwenye mdahalo wa kujadili demokrasia na migogoro ndani ya vyama vya siasa, baada ya mmoja wa washiriki kutamka kuwa, CCM itaendelea kuongoza...
View ArticleKamati ya Bunge yadai TAMISEMI ni sehemu ya mtandao wa ufisadi
Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (Laac), imeilipua Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) kwa madai ya kuwa sehemu ya Mtandao wa Ufisadi serikalini. Tamisemi...
View ArticleMuswada wa kura ya maoni wa mwaka 2013 wapita
BUNGE limepitisha muswada wa kura ya maoni wa mwaka 2013. Muswada huo ambao ulikwama kupitishwa juzi kutokana na hitilafu ya umeme na kusababisha vipaza sauti kugoma, ulipitishwa jana kwa wabunge...
View ArticleKwa staili hii, mahausigeli ( mabinti wa ndani ) wataendelea kulala na waume...
Siku hizi watu wengi wamekuwa na mtindo wa kuajiri wasichana wa kazi ili kusaidia kazi za nyumbani.... Hatukatai, pengine mama mwenye nyumba anaweza kuwa anazidiwa na kazi,kama kufua nguo za...
View ArticleMke asipopewa heshima hawezi kumthamini mumewe hata iwaje....Kwa stori kibao...
Kuna wanaume ambao kwa kutokujua wanadhani mwanamke anachohitaji ni ‘fidia’ baada ya kuvunjiwa heshima, hivyo huwa wanawavunjia heshima wake zao na baadae kujitoza ‘fidia’ kwa kuwanunulia zawadi...
View ArticleNIMEONA UTUPU WA MKE WA MTU..SASA IMEKUWA TABU...!! USHAURI JAMANI NIFANYEJE????
Ilikuwa wiki moja iliyopita.Wakati wa asubuhi naingia bafuni kuoga kumbe kulikuwa na mke wa jirani yangu ambaye pengine hakusikia ujio wangu nami sikujua kama yumo. Ile anataka kutoka tu pale...
View ArticleJinsi ya kufuta kila kitu kwenye computer yako zikiwemo picha za uchi ili...
Kuna watu wamekuwa wakipata hasara katika makampuni yao au hata watu binafsi kutokana na kuuza kompyuta zao kwa watu wengine . Uuzaji wa kompyuta bila kuisafisha umeawafanya watu wengi kuibiwa...
View ArticleUfoo Saro arejea kazini akiwa ngangari kiafya.....
MWANDISHI wa Kituo cha Televisheni cha ITV, Ufoo Saro ambaye hivi karibuni alikumbwa na madhila ya kupigwa risasi na kujeruhiwa vibaya na mzazi mwenzie, kwa sasa afya yake imeimarika na kurejea kazini....
View ArticleMsajili wa Vyama Vya Siasa Francis Mutungi awataka wana Arusha kuacha...
Msajili wa vyama vya siasa nchini Bw Fransis Mutungi amewataka wananchi wa Mkoa wa Arusha na watanzania kwa ujumla kuepuka kuingiza ushabiki kwenye siasa kwani kufanya hivyo licha...
View ArticleJacline Wolper anusurika kufa katika ajali ya gari
Muigizaji wa filamu, Jacqueline Wolper ameponea chupuchupu kupoteza uhai baada ya gari lake kugonga ukuta na kubomoa matanki makubwa ya maji ambayo kama yangeangukia gari yake ingekuwa ni story...
View ArticleUpepo mkali waezua paa la shule ya msingi Luganga....
Wanafunzi wa shule ya msingi Luganga kata ya Ilolompya Tarafa ya Pawaga Mkoa wa Iringa, wakiangalia sehemu ya paa la chumba cha darasa lililo ezuliwa na upepo mkali... Nyumba ya Mwalimu Wanafunzi wa...
View ArticlePicha tano za mikutano ya Dr. Slaa mkoani Kigoma.....Mwenyekiti wa mtaa...
Baadhi ya waandamanaji wakiwa na mabango ya kumpinga Dr. Slaa... Polisi wakimsulubu kijana aliyeleta vurugu eneo la mkutano.... Polisi wakidumisha ulinzi kwa kukabiliana na waandamanaji.......
View ArticleMizengo Pinda adaiwa kuwa ni mzigo serikalini.....Rais Kikwete ashauriwa...
SAKATA la mawaziri kuandamwa kwa kutowajibika limezidi kushika kasi ambapo safari hii, Rais Jakaya Kikwete ametakiwa kumfukuza kazi Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kwa madai ya kuwa mchawi wa maendeleo ya...
View ArticleMeli ndogo ya mizigo yazama kilwa masoko....mtu mmoja hajulikani aliko
Mtu mmoja aliefahamika kwa Jina la Nice Mtega fundi mkuu wa Meli ndogo ya mizigo iitwayo MV MERCI II inayomilikiwa na Semuhungu Shingiro anahofiwa kufa maji baada ya kutoweka toka kuzama kwa meli hiyo...
View ArticleTaarifa kamili ya maandamano yakumpinga Dr Slaa mkoani Kigoma yaliyofanyika...
Ziara ya Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Willbroad Slaa, imekumbwa na vurugu wilayani Kibondo baada ya vijana kuingilia mkutano wake wa hadhara wakiwa na mabango. Vurugu hizo zilisababisha vijana 12...
View ArticleRais Kikwete awasili nchini akitokea ufaransa
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha wageni wakati aliposimama kwa muda katika Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi akiwa njiani kurejea nyumbani baada ya...
View ArticlePicha 7 za vurugu kubwa zilizotokea Kasulu Kigoma Kumpinga Dr....
Baada ya mkutano wa Dr. Slaa Kuvunjwa kwa fimbo na mawe, kilichofuata baadae ni mapambano kati ya polisi na wananchi wanaompinga Dr. Slaa <!-- adsense -->
View ArticleMkutano wa CHADEMA mkoani kigoma wasambaratishwa kwa mawe....Polisi watumia...
Taarifa za kusikitisha ni kwamba mkutano wa Dr.slaa wilayani Kasulu-Kigoma umevunjika baada ya vurugu kubwa kuibuka.... Kwa mujibu wa mtandao wa jamii forums ,Slaa anadaiwa kupigwa mawe na vijana...
View Article