Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (Laac), imeilipua
Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) kwa madai ya
kuwa sehemu ya Mtandao wa Ufisadi serikalini.
Tamisemi inaongozwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya
Waziri Mkuu (Tamisemi), Hawa Ghasia anayesaidiana na manaibu waziri
wawili, Aggrey Mwanry na Majaliwa Kassim Majaliwa.
↧