BUNGE limepitisha muswada wa kura ya maoni wa mwaka 2013.
Muswada huo ambao ulikwama kupitishwa juzi kutokana na hitilafu ya
umeme na kusababisha vipaza sauti kugoma, ulipitishwa jana kwa wabunge
kutakiwa kuitikia ndiyo au siyo.
Hata hivyo, muswada huo ulikuwa na mvutano mkali kati ya serikali na
wabunge wa upinzani, huku baadhi ya wabunge wakichafua hali ya hewa kwa
kudai
↧