Siku hizi watu wengi wamekuwa na mtindo wa kuajiri wasichana wa kazi ili kusaidia kazi za nyumbani....
Hatukatai, pengine mama mwenye nyumba anaweza kuwa anazidiwa na kazi,kama kufua nguo za mzee,watoto,kunyoosha, kuandaa chakula nakadhalika.
Lakini kuna wanawake wengine unakuta wako wawili tu, yeye na mumewe, eti nao wanaweka house girl sijui wa nini? Tena wengine sijui ni sifa
↧