Mtu mmoja aliefahamika kwa Jina la Nice Mtega fundi
mkuu wa Meli ndogo ya mizigo iitwayo MV MERCI II inayomilikiwa na
Semuhungu Shingiro anahofiwa kufa maji baada ya kutoweka toka kuzama kwa meli hiyo katika bandari ya Kilwa masoko.
Akiongea
na mwandishi wetu, meneja wa Bandari ya
Kilwa, Bw. Iddi Omary, alieleza kuwa Meli hiyo iliyofunga gati jana
jioni ikitokea songosongo na
↧