SAKATA la mawaziri kuandamwa kwa kutowajibika limezidi kushika kasi
ambapo safari hii, Rais Jakaya Kikwete ametakiwa kumfukuza kazi Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda kwa madai ya kuwa mchawi wa maendeleo ya nchi na
mzigo namba moja.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za
Mitaa, Hawa Ghasia naye anadaiwa kuwa mzigo mwingine kwa taifa kutokana
na kubariki ufisadi
↧