Dr. Kitila Mkumbo aikana CHADEMA mbele ya uongozi wa chuo kikuu cha Dar es...
Katika hali ya kushangaza Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dkt. Kitila Mkumbo, amekanusha madai ya kuwa mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA kupitia barua yake aliyouandikia uongozi wa chuo...
View ArticleWaziri Nchimbi abebeshwa zigo la Prof Kapuya
WAZIRI wa Mambo ya Ndani, Emmanuel Nchimbi ameingia lawamani kwa kudaiwa kumlinda Mbunge wa Urambo Magharibi, Profesa Juma Kapuya (CCM), anayedaiwa kumbaka na kumtishia kumuua binti wa miaka 16....
View ArticleZitto Matatani tena....Mabilioni ya Uswisi yamtia hatiani, anusurika kulimwa...
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema), kwa mara nyingine ameingia matatani baada ya kushindwa kesi iliyofunguliwa na mfanyabiashara raia wa Afrika Kusini. Katika kesi hiyo, Zitto...
View ArticleDr. Slaa afunguka: Makachero wanatuvuruga
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa amesema mgogoro uliopo ndani ya chama ni kazi ya makachezo. Alitoa kauli hiyo jana jioni alipokuwa akihutubia mamia ya...
View ArticleMahakama yatakiwa kumtambua SOKWE kama binadamu kisheria
Kikundu kimoja cha kutetea haki za wanyama nchini Marekani kimeitaka mahakama mojamjini New York kumtambua sokwe kama binadamu kisheria. Kikundi cha Mradi wa Haki Zisizo za Binadamu (Nonhuman Rights...
View Article"Waliohusika kuchoma moto ofisi za CHADEMA ni CHADEMA wenyewe"....Hii ni...
Polisi mkoani Arusha imekamilisha uchunguzi wake kuhusiana na kuungua kwa Ofisi za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na kusema wanachama wa chama hicho ndio waliohusika. Hata hivyo, Mbunge...
View ArticleMwenyekiti wa Red Brigedi Tanzania atoa tamko zito dhidi ya ubaguzi, ukabila...
TAARIFA KWA WAANDISHI WA HABARI Ndugu Wanahabari, Awali ya yote kwa jina naitwa Jumanne Samwel , ni mwanachama wa chama cha demokrasia na maendeleo mwenye kadi namba 0154352 ya mwaka 2007,nimekuwa...
View ArticleVideo ya mabinti waliovuliwa nguo na kuchomekwa vijiti wakituhumiwa kumtapeli...
Mabinti wawili pamoja na mwanaume mmoja raia wa Nigeria wamejikuta wakidhalilishwa mbele ya umati wa watu baada ya kuvuliwa nguo na wanakijiji wakituhumiwa kumtapeli...
View ArticleTANESCO yajipanga kuanza kuuza umeme nje ya Tanzania ifikiapo 2016
Siku 7 tu baada ya shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kutangaza kumalizika kwa mgao wa umeme wa siku kumi kwenye baadhi ya mikoa, Kaimu Mkurugenzi mtendaji Tanesco Felchesmi Mramba amethibitisha...
View ArticleMizengo Pinda: Mshahara wangu kama Waziri Mkuu hauzidi Shilingi milioni sita
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amedai bungeni leo kwamba mshahara wake hauzidi Shilingi za kitanzania Milioni SITA na akadai wanaodai analipwa zaidi ya hapo ni wazushi wakubwa. Pinda amemjibu Zitto Kabwe...
View ArticleAibu:Wabongo wajirekodi wakivunja amri ya sita...Video yao yavuja
Tumefanikiwa kuinasa video ya wabongo ambao kwa makusudi kabida wamejirekodi wakingonoka... Katika video hii ya wabongo ambao wanaonekana wakiongea kiswahili fasaha, binti asiye na...
View ArticleKumpiga picha au video za uchi mpenzi wako ni sahihi?? Karibu katika mjadala...
Kuna kitu kinanitesa sana kimawazo.....,Hivi kama una mchumba unaetarajia kumuoa au kuoana unaweza kumpiga picha za uchi au video za uchi? Mdada kama Mchumba wako anakupiga picha za uchi...
View ArticleRais Kikwete atangaza siku tatu za Maombolezo kufuatia kifo cha Rais Nelson...
RAIS KIKWETE ATANGAZA SIKU 3 ZA MAOMBOLEZO KITAIFA, BENDERA KUPEPEA NUSU MLINGOTI TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia...
View ArticleKesi ya kumtukana meneja wa hoteli: Wema Sepetu ahukumiwa miezi mitatu jela...
Ile kesi ya kumpiga na kumtukana matusi ya nguoni Meneja wa Hoteli ya Mediteranian iliyopo Kawe Beach, Dar, Godlucky Kayombo iliyokuwa ikimkabili Wema Isaac Sepetu imetolewa hukumu yake kama ilivyokuwa...
View ArticleMwanamke auawa kikatili kwa kukatwa panga shingoni huko Kahama wakimtuhumu...
Mama mmoja aliyetajwa kwa jina la Lucia Mgonga (55) mkazi wa kijiji cha Mega wilayani Kahama mkoani Shinyanga ameuwawa kwa kukatwa Mapanga na watu wasiojulikana. Tukio hilo la kutisha limetokea Usiku...
View ArticleHistoria fupi ya maisha ya mzee Nelson Mandela
Taarifa ya kifo cha Mzee Nelson Mandela imetangazwa na rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma saa saba kasoro usiku wa kuamkia Dec 6 2013 ambapo amefariki akiwa na miaka 95. Akiutangazia Umma wa wakazi wa...
View ArticleBad News: Mzee Nelson Mandela amefariki dunia
Taarifa ya kifo cha Mzee Nelson Mandela imetangazwa na rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma saa saba kasoro usiku wa kuamkia Dec 6 2013 ambapo amefariki akiwa na miaka 95. Taarifa ya CNN imesema...
View ArticleAudio: Makala Maalumu ya Nelson Mandela toka Sauti ya Amerika....Bendera za...
RAIS wa zamani wa Afrika Kusini, Nelson Mandela, amefariki dunia. Mandela amefariki dunia saa tatu kasoro dakika 10 jana usiku kwa saa za Afrika Kusini akiwa nyumbani kwake huku akizungukwa na familia...
View ArticleAudio: Katibu Mkuu wa umoja wa Mataifa amlilia Nelson Mandela, Dokta Salim...
Nelson Mandela, Rais wa kwanza mweusi Afrika Kusini amefariki dunia. Alikuwa na umri wa miaka 95. Kifo cha Mandela kimetangazwa na Rais Jacob Zuma kupitia televisheni ya nchi hiyo. Kufuatia kifo...
View Article