Ile kesi ya kumpiga na kumtukana matusi ya nguoni Meneja wa
Hoteli ya Mediteranian iliyopo Kawe Beach, Dar, Godlucky Kayombo
iliyokuwa ikimkabili Wema Isaac Sepetu imetolewa hukumu yake kama
ilivyokuwa ile ya shosti’ake, Kajala Masanja.
Habari kutoka kwa chanzo makini kilieleza kuwa Wema
alihukumiwa kifungo cha miezi mitatu au faini ya shilingi laki moja kwa
maana ya elfu hamsini kwa
↧