Mama mmoja aliyetajwa kwa jina la Lucia Mgonga (55) mkazi wa kijiji cha Mega wilayani Kahama mkoani Shinyanga ameuwawa kwa kukatwa Mapanga na watu wasiojulikana.
Tukio hilo la kutisha limetokea Usiku wa kuamkia juzi majira ya saa mbili usiku wakati bibi huyo akiwa na wajukuu zake wakipata chakula cha jioni.
Marehemu amepoteza maisha baada ya kukatwa panga sehemu ya bega lake la kushoto na
↧