Taarifa ya kifo cha Mzee Nelson Mandela imetangazwa na rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma saa saba kasoro usiku wa kuamkia Dec 6 2013 ambapo amefariki akiwa na miaka 95.
Akiutangazia Umma wa wakazi wa Afrika ya kusini hapo jana Rais wa Nchi hiyo bwana Jacob Zuma alisema maneno yafuatayo:
"Our nation has lost its greatest son, yet what made Nelson Mandela great was precisely what made him
↧