Taarifa ya kifo cha Mzee Nelson Mandela imetangazwa na rais wa
Afrika Kusini Jacob Zuma saa saba kasoro usiku wa kuamkia Dec 6 2013
ambapo amefariki akiwa na miaka 95.
Taarifa ya CNN imesema Madaktari wa Mzee huyu ambao walikua
wakipokezana kukaa nae kwa saa 24, wamesema Mzee Mandela kwenye kipindi
hiki cha mwisho dawa zilimzoea mpaka zikashindwa kufanya kazi, yani
mwili wake
↧