RAIS wa zamani wa Afrika Kusini, Nelson Mandela, amefariki dunia.
Mandela amefariki dunia saa tatu kasoro dakika 10 jana usiku kwa saa za
Afrika Kusini akiwa nyumbani kwake huku akizungukwa na familia yake.
Hii ni makala maalum ya Sauti ya Amerika kuhusu Maisha ya Nelson Mandela.