Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Audio: Katibu Mkuu wa umoja wa Mataifa amlilia Nelson Mandela, Dokta Salim Ahmed Salim naye azungumza

$
0
0
  Nelson Mandela, Rais wa kwanza mweusi Afrika Kusini amefariki dunia. Alikuwa na umri wa miaka 95. Kifo cha Mandela kimetangazwa na Rais Jacob Zuma kupitia televisheni ya nchi hiyo. Kufuatia kifo hicho Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon amezungumza na waandishi wa habari mjini New York..  (Sauti ya Ban Ki-Moon)  "Nimesikitishwa sana na Kifo chake. Kwa niaba ya Umoja wa Mataifa

Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>