MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema), kwa mara nyingine
ameingia matatani baada ya kushindwa kesi iliyofunguliwa na
mfanyabiashara raia wa Afrika Kusini.
Katika kesi hiyo, Zitto
alituhumiwa kutoa madai kupitia tovuti yake www.zittokabwe.wordpress.com
kuwa mlalamikaji, Moto Mabanga alitoa rushwa ya mabilioni ya fedha kwa
maofisa wa Serikali ya Tanzania ili kufanikisha
↧
Zitto Matatani tena....Mabilioni ya Uswisi yamtia hatiani, anusurika kulimwa faini ya Sh bilioni 8
↧