KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk.
Willibrod Slaa amesema mgogoro uliopo ndani ya chama ni kazi ya
makachezo. Alitoa kauli hiyo jana jioni alipokuwa akihutubia mamia ya
wananchi wa Mji wa Kahama mara baada ya kuwasili akitokea jijini Dar es
Salaam akiwa njia kuelekea mkoani Kigoma kwa ziara ya wiki moja.
Dk. Slaa ambaye alifika saa 12 jioni alitumia
↧