Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Mahakama yatakiwa kumtambua SOKWE kama binadamu kisheria

$
0
0
Kikundu kimoja cha kutetea haki za wanyama nchini Marekani kimeitaka mahakama mojamjini New York kumtambua sokwe kama binadamu kisheria. Kikundi cha Mradi wa Haki Zisizo za Binadamu (Nonhuman Rights Project) kimetaka sokwe mtu alitwae Tommy kupewa hadhi ya “ubinadamu kisheria” na hivyo anastahili kupata “haki muhimu ya uhuru wa kimwili.” Kikundi hicho kinapanga kufungua kesi ya aina

Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>