Polisi mkoani Arusha imekamilisha uchunguzi wake kuhusiana na
kuungua kwa Ofisi za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na
kusema wanachama wa chama hicho ndio waliohusika.
Hata hivyo, Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema),
Godbless Lema amepinga kauli hiyo na kulipa jeshi hilo siku nne
kuwakamata na kuwahoji watuhumiwa watano baada ya kulipatia majina hayo
akidai kuwa ndio
↧